Abdilatif Abdalla,Mwanaharakati wa lugha ya kiswahili
Huwezi kusikiliza tena

Mwandishi aliyeonja mateso ya kalamu,Abdilatif Abdalla

Abdilatif Abdalla mwandishi na mtunzi mzaliwa wa Kenya aishiye Hamburg (hambug)Ujerumani, alilazimika kuishi nje ya nchi yake kwa miaka zaidi ya 22 tangu miaka ya 1970 mara baada ya kutoka katika gereza ambako alifungwa kutokana na maandishi yake yaliyokuwa yakiikosoa serikali ya Jomo Kenyatta.

Ni katika kipindi hicho cha kuitumikia adhabu yake kwa siri alipoandika kazi zaidi.Haya ni mazungumzo yake na mwandishi wetu Arnold Kayanda.