Sheria za uwekezaji Tanzania zinamfaa kijana?
Huwezi kusikiliza tena

Sheria za uwekezaji Tanzania zinamfaa kijana?

Ripoti ya kila mwaka ya uwekezaji duniani ya mwaka 2015 inaonyesha Tanzania ilifanikiwa kuvutia ongezeko la 14.5% ya uwekezaji wa mitaji kutoka nje.

Leo Haba na Haba inaangazia ni kwa namna gani sera na sheria zilizopo kuhusu uwekezaji zinaimarisha soko la ajira kwa Mtanzania hasa kijana.

Mada zinazohusiana