Adama Barrow: Nitarudi Gambia usalama ukiimarika

rais wa gambia ameseama kuwa atarudi Gambia usalama ukiimarika
Image caption rais wa gambia ameseama kuwa atarudi Gambia usalama ukiimarika

Rais wa Gambia Adama Barrow amesema kuwa atarudi nchini Gambia wakati ECOWAS itakapoona ni salama kwa yeye kurudi.

Amesema kuwa atalipa kipao mbele swala la uchumi na ataanzisha tume ya haki na maridhiano ili kuchunguza ukiukaji wa haki za kibinaadamu.

Adama Barrow apewa makao Senegal

Wasifu wa rais mteule wa Gambia Adama Barrow

Senegal yaingiza vikosi vyake Gambia

Gambia: Jammeh 'akubali kuachia madaraka'

''Kutokana na ukweli tutaweza kuridhiana na kusonga mbele'',alisema.

Alizungumza na mwandishi wa BBC Clarisse kutoka Dakar