Mbona Wakenya na Wasomali wametimuliwa Marekani?
Huwezi kusikiliza tena

Mbona Wakenya na Wasomali wametimuliwa Marekani?

Raia takriban 90 wa Somalia na wawili wa Kenya wametimuliwa kutoka Marekani saa chache baada ya taarifa kuibuka kwamba Rais Donald Trump atakabiliana na watu wanaoishi nchini humo kinyume cha sheria.

Msemaji wa serikali ya Kenya Eric Kiraithe amezungumza na BBC na kueleza nini huenda kimesababisha raia hao kutimuliwa.

Mada zinazohusiana