Wakaazi wa Kampala Uganda wanajivunia nini upande wa maankuli?
Huwezi kusikiliza tena

Wakaazi wa Kampala Uganda wanajivunia nini upande wa maankuli?

Waandishi wa BBC wamekita kambi mjini Kampala Uganda katika matangazo ya kwanza ya aina yake maalum, kukutana na watazamaji wetu. Kwa muda wa wiki nzima BBC inakuletea habari maalum za siasa, michezo sanaa na taarifa maalum za uchunguzi. Lakini wakaazi wa Kampala wanajivunia nini upande wa maankuli?

Mtangazaji wa Dira ya Dunia TV na redio Dayo Yusuf amekwenda kutafuta