Ukame wakumba baadhi ya maeneo Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Ukame wakumba baadhi ya maeneo Uganda

Ukame umeyakumba maeneo mengi ya Afrika Mashariki na Kusini pia ndani ya mwaka huu mmoja uliopita, na baadhi ya maeneo nchini Uganda hayakuweza kuepuka hali hiyo. Katika mji wa Patongo karibu nusu ya wakazi wake wamebaki na chakula kidogo tu, hiyo ni kwa mujibu wa Meya wa mji huo. Mwandishi wetu Sammy Awami ametembelea eneo la Patongo kujionea mwenyewe hali ilivyo....