Uvumbuzi unaofanywa na chuo kikuu cha Makerere
Huwezi kusikiliza tena

Uvumbuzi unaofanywa na chuo kikuu cha Makerere

Vijana na uvumbuzi ni suala ambalo mara nyingi hunifurahisha. Siku hadi siku vijana kote barani Afrika huibuka na uvumbuzi wa kipekee unaokusudia kusaidia jamii. Vyuo vikuu navyo vinahusika kwa namna moja au nyingine katika uvumbuzi wa mambo mbalimbali, na Afrika Mashariki, Chuo Kikuu cha Makerere ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele. Mwandishi wetu Sophie Ikenye ametembelea chuo hicho.