Afrika kwa Picha Wiki Hii

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Wafanyakazi nchini Gabon wikitazama timu ya taifa ya Togo ikifanya mazoezi siku ya Jumatatu kwa maandalizi ya mechi wa kuwania kombe la taifa bingwa barani Afrika
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mamia ya madaktari nchini Kenya na wafuasi wao wakiandamana mjini Nairobi siku ya Alhamsii wakilalamikia mishahara
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mwanachama wa kundi la Libyan folk akionyesha pete zake katika maonyesho ya Tunisia mjini Tunis, siku ya Ijumaa
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Ngania nchini Ethiopian wakibeba chumvi katika bonde la Danakil siku ya Jumapili
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mwanamume akitembea kwenye theluji katika mji wa Ifrane siku ya Ijumaa wakati kipindi cha baridi kinaikumba Morocco
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Sherehe katika mji wa Rabat nchini Morocco baada ya Moroco kuishnda Ivory Coast Januari 24
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Maefu ya wafuasi wa mgombea wa upinzani nchini Liberia George Weah kwenye ,mkutano wa hadhara mjini Monrovia
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Maandamano baada ya Trump kuapishwa yakiwemo haya yalifanyika, mjini Durban Afrika Kusini
Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Yahya Jammeh akiondoka nchini Gambia baada ya miaka 22 madarakani