Uganda yajenga kituo kikubwa cha umeme wa jua Afrika mashariki
Huwezi kusikiliza tena

Uganda yajenga kituo kikubwa cha umeme wa jua Afrika mashariki

Uganda imejenga mtambo mkubwa wa kutoa umeme kwa mwanga wa jua wenye thamani ya mamilioni ya dola. Mradi huu, ambao umewekwa katika mji wa Soroti, Mashariki mwa nchi hiyo unasemekana kuwa ndio mkubwa kuliko yote katika ukanda wa Afrika Mashariki. Sammy Awami ameutembelea mtambo huo na kutuandalia taarifa hii.