Harusi ya dola moja Kenya yasisimua wengi
Huwezi kusikiliza tena

Harusi ya dola moja Kenya yasisimua wengi

Kwa wengi kuoa ni hatua muhimu maishani, lakini gharama husika, huwavunja moyo.

Hata hivyo nchini Kenya, Bwana Wilson Mutura na mkewe Ann Mutura wamekuwa gumzo nchini humo baada ya kufanya sherehe iliyowagharimu dola moja pekee.

Aidha, Wafadhili wamejitokeza kuwalipia fungate na kuwapa zawadi zaidi kufurahia ndoa yao.

Abdinoor Aden amekutana na wana ndoa hao na kuzungumza nao.

Mada zinazohusiana