Upepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana

Upepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana Haki miliki ya picha JOY FM
Image caption Upepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana

Shughuli za ukarabati zinaendelea kwenye jengo ya bunge nchini ghana baada ya upepo mkali kung'oa sehemu zya paa la jengo hilo siku ya Jumanne jioni.

Kisa hicho kilisababisha kusitishwa vikao kwa ghafla wakati mvua ilianza kunyesha ndani ya jengo.

Wafanyakazi walijaribu kukinga baadhi ya maeneo yaliyoachwa wazi kwa kukusanya maji wakitumia ndoo.

Haki miliki ya picha JOY FM
Image caption Upepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana

Jengo hilo lililo kwenye mji mkuu Accra lilikarabatiwa miaka miwili iliyopita.

Haki miliki ya picha JOY FM
Image caption Upepo wang'oa paa la jengo la bunge Ghana