Watumia nywele kutengeza mito Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Watumia nywele kutengeza mito Tanzania

Kisicho na thamini kwako kwa mwenzio huenda kikawa ni dhahabu.

Mkoani Morogoro nchini Tanzania nywele na rasta zilizotumika zimegeuka dhahabu, huokotwa na kutengenezwa mito ya kulalia.

Mwandishi wa BBC Humphrey Mgonja akutana na baadhi ya watu wanaofanya kazi hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo: