Kisiwa cha Uokozi katika ziwa Nyasa
Huwezi kusikiliza tena

Tanzania: Kisiwa cha Uokozi katika ziwa Nyasa

Ajali za majini katika Ziwa Nyasa kusini mwa Tanzania zimekuwa zikitokea mara kwa mara kutokana mitumbwi ambayo haikidhi viwango vya usalama majini.

Wavuvi wengi hunusurika kwa kuogelea hadi kwenye kisiwa kimoja katika ziwa hilo ambacho kimejipatia jina Kisiwa cha Uokozi.

Sikiliza ripoti ya Maximiliana Mtenga amezungumza na baadhi ya wavuvi walionusurika kifo kwa kukimbilia kisiwa hicho.

Mada zinazohusiana