Dansi ya Ballet yawavutia watoto Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Dansi ya Ballet yawavutia watoto Kenya na kujifunza

Muziki wa Dansi ya Ballet ni mojawapo ya aina ya dansi za nchi za Kigeni. Kinyume na muziki wa Kiafrika za kunengua viuno, dansi hii huhusisha kupaa na kunyoosha miguu kwa ustadi. Kwa sasa juhudi za kutoa mafunzo ya dansi hiyo kwa watoto katika mtaa wa kibera mjini Nairobi, zimeanza kuzaa matunda. Abdinoor Aden aliwatembelea watoto hao na kutuandalia ripoti ifuatayo.

Mada zinazohusiana