Unafahamu nini juu ya saratani ya tezi dume
Huwezi kusikiliza tena

Je, unafahamu nini juu ya saratani ya tezi dume?

Haba na Haba inazungumzia ugonjwa wa saratani ya tezi dume, tunakuhoji unafahamu nini juu ya Saratani ya tezi dume?