Maafa ya kiangazi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Zaidi ya watu milioni mbili wanakabiliwa na kiangazi nchini Kenya

Kiangazi kinachoendelea kukumba maeneo mengi ya Kenya kimesababisha maafa kwa binadamu na mifugo.

Jamii za wafugaji kaskazini mwa Kenya zimepata pigo kubwa kwa kupoteza mifugo ambayo ni kitega uchumi kwao, walio wengi inawalazimu kuvuka mpaka hadi Ethiopia kutafuta misaada .

Anthony Irungu alitembelea eneo la Marsabit kaskazini mwa Kenya na kuandaa taarifa ifuatayo.