Ukame watatiza wakazi pwani ya Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Ukame wahangaisha wakazi wa pwani ya Kenya

Kaunti ya Kwale eneo la Pwani ni miongoni mwa sehemu zilizokumbwa na kiangazi nchini Kenya, na tayari Rais Uhuru Kenyatta ametangaza ukame kama janga la kitaifa.

Mwandishi wa BBC John Nene alizuru kaunti ya Kwale na kutuandalia ripoti hii.

Mada zinazohusiana