Mtanzania anayevumisha nyimbo za kale kupitia Hip Hop
Huwezi kusikiliza tena

Tiffa, msanii Mtanzania anayevuma kupitia Hip Hop na lulu za kale

Wahida Hassani, ama Tiffa, ni msanii wa utamaduni wa Hip Hop nchini Tanzania anayeendeleza usemi wa vya kale ni dhahabu kwa kurudi na wimbo wa zamani wa Super Mazembe wa Bwana nipe pesa.

Msanii huyu amezungumza na Mwandishi wetu Omary Mkambara na hii ni taarifa yake.

Mada zinazohusiana