Je, kuna faida wanaume kukaa vijiweni Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Je, kuna faida wanaume kukaa vijiweni Tanzania?

Ni desturi kwa baadhi ya wakazi wa maeneo ya pwani katika miji mingi ya Afrika Mashariki kukutwa katika maeneo ya kupumzikia maarufu kama vijiwe vya Kahawa wakiwa wanapiga soga na kunywa Kahawa.

Mitazamo mingine inabeza mazoea hayo na kuona kwamba maeneo hayo wanakaa watu wavivu na wasio na jambo la maana la kufanya.

Mwandishi wetu Maximiliana Mtenga ametuandalia taarifa ifuatayo kutoka mji wa Dar es Salaam.

Mada zinazohusiana