Kuna uharibifu wa mazingira Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Umekumbana na madhara ya uharibifu wa mazingira Tanzania?

Katika kipindi cha Haba na Haba tunaangazia shughuli za kibinadamu zinavyopelekea uharibifu wa mazingira.

Unaweza kutuambia kama kuna kisa ama mkasa uliokukumba kufuatia tukio la uharibifu wa mazingira na hatua ulizochukua?

Mada zinazohusiana