Kwa Picha: Treni yenye starehe na ghali yaundwa Japan

Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000

Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei. Ilijengwa kulingana na mipango na michoro ya Ken Kiyoyuki Okuyama

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei

Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo

Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri

Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu

Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.

Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii

Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari

Unaweza pia kukaa karibu na moto

Haki miliki ya picha JR EAST
Image caption Unaweza pia kukaa karibu na moto