Waliokeketwa warekebishwa sehemu zao za uzazi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Waliokeketwa warekebishwa sehemu zao za uzazi Kenya

Ni mara ya kwanza nchini Kenya kufanyika upasuaji marekebisho ya sehemu za uzazi za wanawake waliopitia ukeketaji. Upasuaji huo kwa jina 'reconstruction plastic surgery' umewasaidia zaidi ya wanawake 35 kutoka sehemu mbalimbali nchini humo kujihisi kuwa wanawake kamili tena.

Kenya imeorodheshwa kuwa ya tatu barani Afrika inayojihusisha na ukeketaji huo ambao ni utamaduni wa baadhi ya jamii nchini humo.

Paula Odek amefika katika hospital ya kibinafsi ya Karen na kuzungumza na baadhi ya wanawake hao na kutuandalia taarifa hii.

Mada zinazohusiana