Habari za Global Newsbeat 1500 10/08/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 10/08/2017

Klabu ya Liverpool imekataa zabuni ya pauni milioni 90 kwa mchezaji Philippe Coutinho kutoka Barcelona,ombi la Barca kwa mara ya pili ilikataliwa punde tu ilipowasilisha . Hata hivyo Liverpool imeendelea kusisitiza kwamba mchezaji huyo hauzwi.