Tanzania: Umuhimu wa kunyonyesha mtoto maziwa ya mama
Huwezi kusikiliza tena

Jamii Tanzania inafahamu umuhimu wa kunyonyesha mtoto maziwa ya mama?

Mwezi Agosti huwa ni mwezi wa kuhamaisha kuhusu umuhimu wa kunyonyesha mtoto maziwa ya mama. Wataalamu hupendekeza mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya kwanza, lakini wengi huwa hawafuati hilo.

Katika Haba na Haba inazungumzia umuhimu wa kunyonyesha mtoto maziwa ya mama.

Mada zinazohusiana