Visiwa vya Zanzibar ambavyo havina shule za sekondari
Huwezi kusikiliza tena

Kisiwa cha Mafia ambacho hakina shule za sekondari

Nchini Tanzania wanafunzi wa darasa la saba wapo katika maandalizi ya kufanya mitihani yao ya mwisho ya elimu ya msingi Septemba 6 na 7.

Lakini baadhi ya wanafunzi hususan katika shule za maeneo ya visiwa, hali yao ni ya wasiwasi kuendelea na masomo kutokana na kukosa shule za sekondari pamoja na changamoto lukuki.

Halima nyanza ametembelea kisiwa cha Bwejuu, kilichopo kisiwani Mafia mkoani Pwani na kukutana na wanafunzi hao.

Sahihisho: Awali taarifa hii ilisema kisiwa cha Bwejuu kinapatikana Zanzibar. Ukweli ni kwamba kinapatikana wilaya ya Mafia katika mkoa wa Pwani. Tunaomba radhi.

Mada zinazohusiana