Habari za Global Newsbeat 1500 08/09/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 08/09/2017

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo.