TP Mazembe yainyuka Al Ahili bao 5-0

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mchezaji wa TP Mazembe

Katika michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya Robo fainali jana klabu ya Tp Mazembe ilifanikiwa kusonga mbele baada ya kuifunga Hilal Obeyed bao 5-0.

Kwa ushindi huo Tp Mazembe itakuatana na FUS Rabat hatua ya Nusu fainali, nayo Club Afican imeichapa Mc Alger bao 2-0 na kusonga mbele ambapo itakutana na Supersport Utd hatua ya Nusu fainali. Katika kombe la klabu bingwa Etoile Du saheil jana imeichapa Al Ahil Tripol bao 2-0.