Habari za Global Newsbeat 1200 29/09/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1200 29/09/2017

'Pua ya Kizungu': Wanaume Lebanon wanafanyiwa upasuaji wa pua ili kuwavutia wasichana! Wanaume Lebanon wanabadilisha mapua ili yafanane na ya wazungu wa ulaya. #GNBSwahili.