Meneja msaidizi wa Everton,David Unsworth amesema mambo yanastahili kubadilika haraka katika klabu hiyo baada ya kushindwa tena kwa mabao manne kwa moja dhidi ya Southampton.
Je, yapi maoni yako kuhusiana na Everton msimu huu?
Tusaliane kwenye Facebook BBCswahili.