Habari za Global Newsbeat 1500 05/12/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 05/12/2017

Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani itasikiliza kesi ambapo wapenzi wa jinsia moja walifukuzwa kutoka duka moja la kuoka mikate huko Colorado wakati walijaribu kununua keki ya harusi.

Je, huo ni ubaguzi wa kijinsia?

Tujadiliane kwenye facebook bbcswahili.com