Habari za Global Newsbeat 1100 24/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1100 24/01/2018

Katika tetesi za soka ulaya, Arsenal imeongeza ofa ya kumnunua mshambuliaji matata wa klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund na Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, kutoka pauni £48.3m hadi £50.9m.