Habari za Global Newsbeat 1500 24/01/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 24/01/2018

Pep Guardiola aliadhimisha mechi 500 kama kocha mkuu hapo jana baada ya Man City kuinyuka Bristol na kuingia fainali ya dimba la Carabao. Lakini Je, Guardiola ataiwezesha Man City kunyanyua mataji manne katika msimu mmoja? Sikiliza #GNBSwahili.