Uzalishaji wa pamba unaweza kuimarishwa vipi Tanzania?
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba: Uzalishaji wa pamba unaweza kuimarishwa vipi Tanzania?

Katika Haba na Haba wiki hii, tunaangazia kilimo cha pamba nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa bodi ya pamba nchini Tanzania, uzalisha wa pamba umekuwa ukishuka kwa kasi tangu msimu wa mwaka 2002-03 na 2016/17, kutoka tani 350,000 mpaka 120,000 na kupunguza kiasi cha pamba kinachouzwa nje.

Tunauliza, je Serikali na jamii inafanya jitihada gani kuimarisha uzalishaji wa pamba?

Mada zinazohusiana