Habari za Global Newsbeat 1500 18/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 18/04/2018

Utafiti uliofanywa na shirika la Resolution Foundation umebaini kwamba robo tatu ya vijana wa sasa hawatakuwa na uwezo wa kimiliki nyumba zao wenyewe kwa miaka ijayo kutokana na ongezeko la nyumba za kukodi.

Je, wakubaliana na utafiti huo?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com