Diamond:Kwa mtu ambaye zilimkwaza, tuvumiliane, tusameheane tu
Huwezi kusikiliza tena

Diamond: Kwa mtu ambaye zilimkwaza, tuvumiliane, tusameheane tu

Wanamuziki nyota nchini Tanzania, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz na Faustina Charles, maarufu Nandi wamejitokeza hadharani kuomba radhi kutokana na kitendo cha kupiga picha zinazodaiwa kuwa 'chafu' picha ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii juma lililopita. Mapema wiki hii msanii huyo wa alihojiwa na maafisa wa polisi kwa video hiyo aliyoiweka kwenye mtandao wake wa Instagram. Maafisa wanasema video hiyo imekosa maadili na inakiuka utamaduni wa Tanzania.

Mada zinazohusiana