Habari za Global Newsbeat 1500 20/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 20/04/2018

Mwanamme mmoja amezungumzia unyanyasaji aliopitia kutoka kwa mpenzi wake aliyemchapa na kumnyima chakula.. Alex Skeel, mwenye umri wa miaka 22, kutoka Stewartby, Bedfordshire alisalia na majeraha juu ya mwili wake wote.Mpenzi wake wa zamani, Jordan Worth, alihukumiwa na akafungwa kwa miaka saba na nusu.