Wiki hii katika picha 14-20 mwezi Aprili 2018

Haki miliki ya picha Matt Dunham / AFP
Image caption Malkia Elizabeth II akisalimina na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau wakati wa chakula cha jioni .Viongozi wa nchi za jumuiya ya Madola wamekutana mjini London.
Haki miliki ya picha Suhaib Salem / Reuters
Image caption Mfugaji wa nyuki raia wa Palestina, akitumia moshi kutuliza nyuki wakati akivuna asali katika shamba karibu na mpaka wa Israeli-Gaza katika ukanda wa kaskazini mwa Gaza.
Haki miliki ya picha Joadson Alves / EPA
Image caption Wanajeshi wa ulinzi wa Rais wa wakiwa katika gwaride wakati wa sherehe za kusherehekea siku ya jeshi ya Brazil mjini Brasilia
Haki miliki ya picha Goran Tomasevic / Reuters
Image caption Wanaume wakifyatua matofali katika eneo Bunia, Jamhuri ya Mashariki ya Kidemokrasia ya Congo.
Haki miliki ya picha Daniel Del Zennaro / EPA
Image caption Mwanamke na mtoto wakitazama picha ya kubuni, katika wiki ya ubunifu ya Fuori Salone , Milan Italy maonyesho hayo yalihusu zawadi miundo samani, taa za nyumbani vifaa .
Haki miliki ya picha Zakaria Abdelkafi / AFP
Image caption Mwandamanaji akikabiliana na polisi wa kuzuia ghasia katika maandamano mjini Paris ikiwa ni siku ya maandamo ya vyama ya Kifaransa .
Haki miliki ya picha Hannah McKay / Reuters
Image caption Mkazi wa St James Park, jijini London akiwa amepumzika nje ambapo nyuzi joto ni zaidi ya 29,na kuwafanya mwezi April kuwa joto katika kipindi cha miaka 70