Habari za Global Newsbeat 1000 26/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 26/04/2018

Mwanamme mmoja mjini Monterrey nchini Mexico aliingia katika duka moja akiwa na bunduki akiwa tayari kupora. Hata hivyo mzee mmoja alimkabili kutoka nyuma na kumpokonya bunduki hiyo. Tembelea tovuti yetu bbc.cocm uione video hio.