Habari za Global Newsbeat 1000 30/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 30/04/2018

Mti uliozawadiwa kwa rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron umepotea. Mti huo uliotolewa katika eneo lililoshuhudia vita vikuu vya kwanza kaskazini mashariki mwa Ufaransa.Wakati wa ziara ya bwana Macron wiki iliyopita alisema mti huo utakuwa ukumbusho wa uhusiano wao unaowaunganisha.

Je, kwa mafikira yako mti huo huenda umepotea kwa namna gani licha ya ulinzi mkali?

Tujadiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com