Habari za Global Newsbeat 1500 30/04/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1500 30/04/2018

Waziri mkuu wa India Narendra Modi ametangaza kwamba vijiji vyote nchini humo vimeuganishiwa na umeme. Kijiji kilichoko kaskazini mashariki mwa Manipur ndicho kilichokuwa kijiji cha mwisho kupata umeme.Lakini kulingana na takwimu za benki ya dunia zinaonyesha kwamba watu milioni 200 bado hawana umeme.

Je, umeme una manufaa gani kwa taifa?

Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com