Habari za Global Newsbeat 1000 01/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 01/05/2018

Utafiti mpya unaonyesha kwamba robo tatu ya aina zote za viumbe hai waishio kwenye maji safi katika Ziwa Victoria lililopo Afrika Mashariki wana hatari ya kuangamia kutokana na uchafuzi wa mazingira na uvuvi Uliopindukia. Wahifadhi wa Mazingira wanatoa wito kwa matumizi bora ya ardhi na maji ya ziwa hilo kubwa zaidi za Afrika.