Habari za Global Newsbeat 1000 03/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 03/05/2018

Utafiti mpya umeonyesha kwamba zaidi ya wanawake 240 nchini Uingereza, walifariki kwa ugonjwa wa saratini kwa sababu ya kutopewa maelezo kamili ya kupimwa ugonjwa huo. Mkurugenzi wa Afya Jeremy Hunt alitangaza kufanyika kwa uchunguzi mwafaka na akawaomba msamaha familia zilizoathirika. Je! Ungehisi vipi iwapo maisha yako yangefupishwa kwa sababu ya kosa linaloweza kuepukika? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCNews Swahili.