Habari za Global Newsbeat 1000 08/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Tazama Matope ya moto wa volkeno yanavyoharibu gari

Volkeno ya Kilauea nchini Hawaiii ilianza kulipuka tarehe tata mwezi huu na imekwisha haribu nyumba Zaidi ya 26 na kuwahamisha watu zaidi ya 2000. Tembelea tovuti yetu bbc.com uone video ya volkeno hio ikilisomba gari.