Habari za Global News Beat 1000 10/5/18
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global News Beat 1000 10/5/2018

Mwansayansi kutoka Australia, ambaye anataka kumaliza maisha yake ametoa sababu ya kwanini anataka kufanya hivyo. Akiwa na miaka mia moja na nne ameanza safari ya kuelekea Switzerland ambapo atajitoa uhai kwa njia halali. Je, wadhani watu wanafaa kupewa nafasi ya kujitoa uhai? Sema nasi kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili