Umeshindwa kufungua Instagram? Hauko peke yako

Watu maarufu wadukuliwa katika mtandao wa Instagram Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Watu maarufu wadukuliwa katika mtandao wa Instagram

Je, umekuwa ukitatizika kuingia katika mtandao wa kijamii wa picha na video wa Instagram? Hauko peke yako.

Mtandao huo umekumbwa na hitilafu ingawa kufikia sasa hakujatolewa taarifa rasmi.

Lakini kwa sasa mtandao huo unafunguka vyema bila kasoro.

Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakilalamika kutoweza kutumia mtandao huo.

Baadhi wamekuwa wakitaniana kwenye Twitter.

Kunao waliodhani walikuwa wamefungiwa

Wengi hutumia mtandao huo kupakia picha za chakula. Maisha yakoje kwao?

Unaweza kusoma pia:

Mada zinazohusiana