Habari za Global News Beat 1000 11/5/2018
Huwezi kusikiliza tena

Marekani yaomba msamaha kwa kumvua kilemba mbunge wa Canada

Maafisa wa Marekani wamemuomba msamaha mwanachama wa baraza la mawaziri la Justin Trudeau, baada ya kumuamuru kutoa kilemba cha dini wakati wa utaratibu wa usalama kwenye uwanja wa ndege.

Je! Unafikiri watu wanaovaa mavazi ya dini wanapaswa kuwa huru kutokana na taratibu za usalama katika viwanja vya ndege? Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook, bbcswahili.

Mada zinazohusiana