Watu kumi wenye ushawishi zaidi duniani 2018 watajwa
Huwezi kusikiliza tena

Forbes: Watu kumi wenye ushawishi zaidi duniani 2018 watajwa

Kiongozi wa China Xi Jinping ndiye mtu mwenye ushawishi Zaidi duniani, kwa mujibu wa jarida la Forbes. Amechukua nafasi hiyo baada ya bunge China kumpa mamlaka zaidi na kuondoa kikomo muhula wa rais.

Jingping amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Rais Vladimir Putin wa Urusi ambaye anashika nafasi ya pili.