Habari za Global Newsbeat 1500 11/05/2018
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wanaoishi na wazazi wao wakiwa uchumbani.

Kumebainika kwamba vijana wengi huishi na wazazi wao lakini haimaanishi kwamba vijana hao hawana wachumba. Mwalimu mmoja Miri Gellert mwenye umri wa miaka 30 bado anaishi kwenye nyumba ya mamake.

Je, ni vyema kuishi na wazazi ukiwa unachumbia au unachumbiwa?

Tupe maoni yako kwenye ukurasa wetu wa Facebook BBCSwahili.com