Habari za Global Newsbeat 1000 14/052018
Huwezi kusikiliza tena

Watoto wanastahili uhuru wanapokuwa nyumbani

Baba ya watoto sita anayeishi katika kijiji kimoja huko magharibi mwa Finland amewaruhusu watoto wake kufanya watakalo kama njia ya malezi bora.

Je ni njia gani ya kuwalea watoto vyema katika karne hii?

Tuwasiliane kwenye facebook BBCSwahili.com