Kitu gani kinalipa kundi la Sauti Sol msukumo?
Huwezi kusikiliza tena

Tutarajie kitu kutoka kwa Wasafi na Sauti Sol?

Tutarajie kitu kutoka kwa Wasafi na Sauti Sol..? Kwa nini wakamchagua Vannessa Mdee..? Wanamuziki maarufu kutoka Kenya Sauti Sol wamezungumza na BBC kuhusu mradi wao mpya wa 'Muziki mmoja kila mwezi' (LP) kwa kuwashirikisha wasanii mbalimbali kutoka bara Afrika. Nchini Tanzania wamemshirikisha Vanessa Mdee, Patoranking kutoka Afrika kusini, Tiwa savage na Burna Boy kutoka Nigeria na Nyashinski, Khaligraph Jones kutoka Kenya. Tazama hapa!